Diagnostiki ni kitengo muhimu katika ugawaji na huduma za afya kwa jumla. Uchunguzi wa diagnostiki una umuhimu kwa kuwaangazia wataalamu wa matibabu ili kuhakikisha uchunguzi tabithi wa magonjwa yaliyomo.

Uchumi wa kiafya umelenga sekta ya diagnostiki kama swala nyeti katika kuhesabu gharama za matibabu. Gharama hizi zimeongezeka hivi majuzi kutokana na maafa ya kiuchumi, kuongezeka kwa bei za mafuta za dunia na kutokea na magonjwa  mapya  na viini sugu visivyo sikiza dawa.

Kampuni ya Scitech Diagnostics Ltd ilinakiliwa mji wa Nairobi na kusajiliwa mnamo mwaka 2007 chini ya sheria za kampuni katika sheria za Kenya. Kampuni hii imeruhusiwa kufanya biashara yeyote inayohusu vifaa vya maabara na diagnostiki hadi kuuza, kutengeneza na kurekebisha vifaa vinavyotumika katika maabara zinazohusiana na mambo ya afya.

Misheni

Scitech Diagnostics inatarajia kuboresha na kuimarisha penyenye katika huduma za matibabu kupitia maenezi na uuzaju wa vifaa vya diagonistiki vya bei rahisi na mwafaka venye vitasaidia kupunguza gharama kuu ya matibabu na huduma za afya.

Tokeo

Scitech Diagnostics inatarajia kuboresha na kuimarisha penyenye katika huduma za matibabu kupitia kuunda, kutengeneza na maenezi na uuzaju wa vifaa vya diagonistiki vya bei rahisi na mwafaka venye vitasaidia kupunguza gharama kuu ya matibabu na huduma za afya.

Team

Mkurugenzi Mkuu  ana ujuuzi tele katika sekta za diagnostics of infectious diseases in sub Saharan Africa. Amehusika katika sekta za HIV monitoring solutions in sub Saharan Africa kupitia uhusiano wake wa kibiashara na Guava Technologies Inc, kampuni ya biotechnologia iliyomo marekani na inayo uunda vifaa kama cytometers vinavyotumika katika utafiti katika mambo ya sayansi za afya. Anaujuuzi kamili kupitia kazi zake za utafiti wa kujitolea kupitiaKenya Medical Research Intitute (KEMRI) . Mkurugenzi mkuu ni msomi wa Bachelor of Science Degree kutoka Kenyatta University na Master of Science in Immunology kutoka Kenyatta University.

Mkurugenzi wa uendeshaji na usimamizi anaujuzi katika ubunifu na usimamizi wa miradi kadha wa kadha katika sekta tofauti za  NGO zinazohusika na environmental activities na community development. Mkurugenzi  ni msomi wa Bachelors degree in Environmental Studies na Masters degree in Environmental Studies and Community Development kutoka Kenyatta University

 
News

 


.
  07.12.2009
Millipore unveils Scepter; a handheld automated cell counter...
 
 
Events

 

4th East African Health & Scientific Conference, Kigali, Rwanda
31st March-2nd April 2009
Venue: Serena Hotel, Kigali

   
   
  Map and Directions
  Click here for directions to our offices.
 

   

 
Copyright Scitech Diagnostics 2009